Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 32 - قٓ - Page - Juz 26
﴿هَٰذَا مَا تُوعَدُونَ لِكُلِّ أَوَّابٍ حَفِيظٖ ﴾
[قٓ: 32]
﴿هذا ما توعدون لكل أواب حفيظ﴾ [قٓ: 32]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na waambiwe hao Waumini, «Hii ndiyo ile mliokuwa mkiahidiwa, enyi wachamungu, kwa kila mtubiaji dhambi zake, mwenye kukitunza kila kinachomkurubisha kwa Mola Wake miongoni mwa mambo ya lazima na ya utiifu |