Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 31 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَأُزۡلِفَتِ ٱلۡجَنَّةُ لِلۡمُتَّقِينَ غَيۡرَ بَعِيدٍ ﴾
[قٓ: 31]
﴿وأزلفت الجنة للمتقين غير بعيد﴾ [قٓ: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hapo wachamungu wakaribishiwe Pepo, iwepo mahali ambapo si mbali na wao, wawe waiona, kwa kuwaongezea furaha zao |