Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 33 - قٓ - Page - Juz 26
﴿مَّنۡ خَشِيَ ٱلرَّحۡمَٰنَ بِٱلۡغَيۡبِ وَجَآءَ بِقَلۡبٖ مُّنِيبٍ ﴾
[قٓ: 33]
﴿من خشي الرحمن بالغيب وجاء بقلب منيب﴾ [قٓ: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr mwenye kumcha Mwenyezi Mungu duniani na akakutana na Yeye Siku ya Kiyama kwa moyo wa mwenye kutubia dhambi zake.» |