Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 9 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَنَزَّلۡنَا مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءٗ مُّبَٰرَكٗا فَأَنۢبَتۡنَا بِهِۦ جَنَّٰتٖ وَحَبَّ ٱلۡحَصِيدِ ﴾
[قٓ: 9]
﴿ونـزلنا من السماء ماء مباركا فأنبتنا به جنات وحب الحصيد﴾ [قٓ: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tumeteremsha kutoka juu mvua yenye manufaa mengi, tukaotesha kwayo mabustani yenye miti mingi na nafaka za mimea ya nafaka zinazovunwa |