×

Yawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja mwenye kuelekea 50:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Qaf ⮕ (50:8) ayat 8 in Swahili

50:8 Surah Qaf ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 8 - قٓ - Page - Juz 26

﴿تَبۡصِرَةٗ وَذِكۡرَىٰ لِكُلِّ عَبۡدٖ مُّنِيبٖ ﴾
[قٓ: 8]

Yawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja mwenye kuelekea

❮ Previous Next ❯

ترجمة: تبصرة وذكرى لكل عبد منيب, باللغة السواحيلية

﴿تبصرة وذكرى لكل عبد منيب﴾ [قٓ: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Ameumba mbingu, ardhi na vilivyomo baina ya hivyo viwili miongoni mwa alama kubwa, ili viwe ni mazingatio ya kumfanya mtu aone na atoke kwenye giza la ujinga, na ni ukumbusho kwa kila mja mnyenyekevu, mwenye kucha na kuogopa, mwenye kurejea sana kwa Mwenyezi Mungu Aliyeshinda na kutukuka
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek