Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 23 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿فَوَرَبِّ ٱلسَّمَآءِ وَٱلۡأَرۡضِ إِنَّهُۥ لَحَقّٞ مِّثۡلَ مَآ أَنَّكُمۡ تَنطِقُونَ ﴾
[الذَّاريَات: 23]
﴿فورب السماء والأرض إنه لحق مثل ما أنكم تنطقون﴾ [الذَّاريَات: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anaapa Mwenyezi Mungu kwa dhati Yake tukufu kwamba kile Alichowaahidi ni kweli, msikifanyie shaka kama ambavyo hamshuku kuwa nyinyi mnasema |