Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 26 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿۞ وَكَم مِّن مَّلَكٖ فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ لَا تُغۡنِي شَفَٰعَتُهُمۡ شَيۡـًٔا إِلَّا مِنۢ بَعۡدِ أَن يَأۡذَنَ ٱللَّهُ لِمَن يَشَآءُ وَيَرۡضَىٰٓ ﴾
[النَّجم: 26]
﴿وكم من ملك في السموات لا تغني شفاعتهم شيئا إلا من بعد﴾ [النَّجم: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kuna Malaika wengi huko mbinguni, pamoja na vyeo vyao vya juu, kuombea kwao hakunufaishi chochote isipokuwa baada ya Mwenyezi Mungu kuwapa idhini wao waombee na Aridhike na yule mwenye kuombewa |