Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 28 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَمَا لَهُم بِهِۦ مِنۡ عِلۡمٍۖ إِن يَتَّبِعُونَ إِلَّا ٱلظَّنَّۖ وَإِنَّ ٱلظَّنَّ لَا يُغۡنِي مِنَ ٱلۡحَقِّ شَيۡـٔٗا ﴾
[النَّجم: 28]
﴿وما لهم به من علم إن يتبعون إلا الظن وإن الظن لا﴾ [النَّجم: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wao hawana ujuzi wowote ulio sahihi, kuhusu jambo hilo, wenye kusadikisha hayo waliyoyasema. Hawafuati isipokuwa dhana ambayo haifalii kitu na haisimami kabisa mahali pa haki |