Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 3 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَكَذَّبُواْ وَٱتَّبَعُوٓاْ أَهۡوَآءَهُمۡۚ وَكُلُّ أَمۡرٖ مُّسۡتَقِرّٞ ﴾
[القَمَر: 3]
﴿وكذبوا واتبعوا أهواءهم وكل أمر مستقر﴾ [القَمَر: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na walimkanusha Nabii, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, wakafuata upotevu wao na kile cha ukanushaji ambacho matamanio yao yaliwavuta kwacho. Na kila jambo, la kheri au la shari, litawashukia wanaostahili Siku ya Kiyama yatakapodhihiri malipo na mateso |