Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 4 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿وَلَقَدۡ جَآءَهُم مِّنَ ٱلۡأَنۢبَآءِ مَا فِيهِ مُزۡدَجَرٌ ﴾
[القَمَر: 4]
﴿ولقد جاءهم من الأنباء ما فيه مزدجر﴾ [القَمَر: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakika ziliwajia makafiri wa Kikureshi habari za ummah waliokanusha mitume wao na adhabu iliyowashukia zinazotosha kuwakemea na kuwafanya warudi nyuma waache ukafiri wao na upotevu wao |