Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 5 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿حِكۡمَةُۢ بَٰلِغَةٞۖ فَمَا تُغۡنِ ٱلنُّذُرُ ﴾ 
[القَمَر: 5]
﴿حكمة بالغة فما تغن النذر﴾ [القَمَر: 5]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii Qur’ani iliowajia ni hekima kubwa iliyofikia upeo. Basi yatawafalia nini maonyo wale watu waliyoipa mgongo na kuikanusha |