Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 44 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿يَطُوفُونَ بَيۡنَهَا وَبَيۡنَ حَمِيمٍ ءَانٖ ﴾
[الرَّحمٰن: 44]
﴿يطوفون بينها وبين حميم آن﴾ [الرَّحمٰن: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr mara wanaadhibiwa kwenye Jaḥīm, na mara nyingine wananyweshwa Hāmīm, nacho ni kinywaji kilichofikia upeo wa ukali wa moto, kinakata tumbo na sehemu za ndani ya mbavu |