Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 43 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿هَٰذِهِۦ جَهَنَّمُ ٱلَّتِي يُكَذِّبُ بِهَا ٱلۡمُجۡرِمُونَ ﴾
[الرَّحمٰن: 43]
﴿هذه جهنم التي يكذب بها المجرمون﴾ [الرَّحمٰن: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wataambiwa hao wahalifu kwa njia ya kulaumiwa na kudhalilishwa, «Huu ndio moto wa Jahanamu ambao wahalifu duniani walikuwa wakiukanusha |