Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 56 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿فِيهِنَّ قَٰصِرَٰتُ ٱلطَّرۡفِ لَمۡ يَطۡمِثۡهُنَّ إِنسٞ قَبۡلَهُمۡ وَلَا جَآنّٞ ﴾
[الرَّحمٰن: 56]
﴿فيهن قاصرات الطرف لم يطمثهن إنس قبلهم ولا جان﴾ [الرَّحمٰن: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Katika matandiko hayo wapo wake macho yao yanawatazama waume zao tu, hawawatazami wengineo, wamefungamana na wao. Hakuna aliyewaingilia, kabla ya hao waume zao, binadamu yoyote wala jini |