Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 62 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿وَلَقَدۡ عَلِمۡتُمُ ٱلنَّشۡأَةَ ٱلۡأُولَىٰ فَلَوۡلَا تَذَكَّرُونَ ﴾
[الوَاقِعة: 62]
﴿ولقد علمتم النشأة الأولى فلولا تذكرون﴾ [الوَاقِعة: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakika mlijua kuwa Mwenyezi Mungu Aliwaumba uumbaji wa kwanza na hamkuwa kitu chochote. Basi si mkumbuke uweza wa Mwenyezi Mungu wa kuwaumba mara nyingine |