Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 91 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿فَسَلَٰمٞ لَّكَ مِنۡ أَصۡحَٰبِ ٱلۡيَمِينِ ﴾
[الوَاقِعة: 91]
﴿فسلام لك من أصحاب اليمين﴾ [الوَاقِعة: 91]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ataambiwa, «Umesalimika na kuwa kwenye amani, kwa kuwa wewe ni miongoni mwa watu wa upande wa kulia.» |