×

Basi leo haitapokelewa kwenu fidia, wala kwa wale walio kufuru. Makaazi yenu 57:15 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hadid ⮕ (57:15) ayat 15 in Swahili

57:15 Surah Al-hadid ayat 15 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hadid ayat 15 - الحدِيد - Page - Juz 27

﴿فَٱلۡيَوۡمَ لَا يُؤۡخَذُ مِنكُمۡ فِدۡيَةٞ وَلَا مِنَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْۚ مَأۡوَىٰكُمُ ٱلنَّارُۖ هِيَ مَوۡلَىٰكُمۡۖ وَبِئۡسَ ٱلۡمَصِيرُ ﴾
[الحدِيد: 15]

Basi leo haitapokelewa kwenu fidia, wala kwa wale walio kufuru. Makaazi yenu ni Motoni, ndio bora kwenu; na ni marejeo maovu yalioje

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فاليوم لا يؤخذ منكم فدية ولا من الذين كفروا مأواكم النار هي, باللغة السواحيلية

﴿فاليوم لا يؤخذ منكم فدية ولا من الذين كفروا مأواكم النار هي﴾ [الحدِيد: 15]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Leo haitakubaliwa badala kutoka kwa yoyote miongoni mwenu, enyi wanafiki, ili ajifidie kwayo na adhabu ya Mwenyezi Mungu wala kutoka kwa wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake. mwisho wenu nyote ni Moto, huo ni makao mnayostahili zaidi kuliko makao yoyote, na mwisho mbaya kabisa ni huo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek