Quran with Swahili translation - Surah Al-hadid ayat 23 - الحدِيد - Page - Juz 27
﴿لِّكَيۡلَا تَأۡسَوۡاْ عَلَىٰ مَا فَاتَكُمۡ وَلَا تَفۡرَحُواْ بِمَآ ءَاتَىٰكُمۡۗ وَٱللَّهُ لَا يُحِبُّ كُلَّ مُخۡتَالٖ فَخُورٍ ﴾
[الحدِيد: 23]
﴿لكيلا تأسوا على ما فاتكم ولا تفرحوا بما آتاكم والله لا يحب﴾ [الحدِيد: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ili msisikitike kwa mlichokikosa cha ulimwengu na msifurahike furaha ya kiburi na majivuno. Na mwenyezi mungu Hampendi kila mwenye kujiona kwa alichopewa cha ulimwengu, mwenye kujifahiri nacho juu ya wengine |