Quran with Swahili translation - Surah Al-Mujadilah ayat 17 - المُجَادلة - Page - Juz 28
﴿لَّن تُغۡنِيَ عَنۡهُمۡ أَمۡوَٰلُهُمۡ وَلَآ أَوۡلَٰدُهُم مِّنَ ٱللَّهِ شَيۡـًٔاۚ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلنَّارِۖ هُمۡ فِيهَا خَٰلِدُونَ ﴾
[المُجَادلة: 17]
﴿لن تغني عنهم أموالهم ولا أولادهم من الله شيئا أولئك أصحاب النار﴾ [المُجَادلة: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hayatawakinga wanafiki hawa mali yao wala watoto wao kitu chochote na adhabu ya Mwenyezi Mungu. Hao ni watu wa Motoni, watauingia na wasalie humo milele, hawatatoka humo kabisa. Malipo haya yanamkusanya kila anayeiwekea kizuizi Dini ya Mwenyezi Mungu kwa maneno yake au vitendo vyake |