×

Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe 6:101 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:101) ayat 101 in Swahili

6:101 Surah Al-An‘am ayat 101 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 101 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿بَدِيعُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ أَنَّىٰ يَكُونُ لَهُۥ وَلَدٞ وَلَمۡ تَكُن لَّهُۥ صَٰحِبَةٞۖ وَخَلَقَ كُلَّ شَيۡءٖۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيۡءٍ عَلِيمٞ ﴾
[الأنعَام: 101]

Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: بديع السموات والأرض أنى يكون له ولد ولم تكن له صاحبة وخلق, باللغة السواحيلية

﴿بديع السموات والأرض أنى يكون له ولد ولم تكن له صاحبة وخلق﴾ [الأنعَام: 101]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Ndiye Aliyezipatisha mbingu na ardhi na vilivyomo humo, kwa namna isiyokuwa na mfano uliotangulia. Vipi Awe na mtoto, na hakuwa na mke? Ametukuka Mwenyezi Mungu kutukuka kukubwa na yale wanayoyasema washirikina, Na Yeye Ndiye Aliyeumba kila kitu kutokana na hali ya kutokuwako na hakuna chochote chenye kufichika Kwake katika mambo ya viumbe
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek