Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 129 - الأنعَام - Page - Juz 8
﴿وَكَذَٰلِكَ نُوَلِّي بَعۡضَ ٱلظَّٰلِمِينَ بَعۡضَۢا بِمَا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ﴾
[الأنعَام: 129]
﴿وكذلك نولي بعض الظالمين بعضا بما كانوا يكسبون﴾ [الأنعَام: 129]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kama tulivyowapa uwezo mashetani wa kijini juu ya makafiri wa kibinadamu wakawa ni wategemewa wao, hivyohivyo tunawapa uwezo madhalimu wa kibinadamu juu ya wenyewe kwa wenyewe duniani kwa sababu ya maasia wayafanyayo |