Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 64 - الأنعَام - Page - Juz 7
﴿قُلِ ٱللَّهُ يُنَجِّيكُم مِّنۡهَا وَمِن كُلِّ كَرۡبٖ ثُمَّ أَنتُمۡ تُشۡرِكُونَ ﴾
[الأنعَام: 64]
﴿قل الله ينجيكم منها ومن كل كرب ثم أنتم تشركون﴾ [الأنعَام: 64]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waambie, ewe Mtume, «Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Ndiye Mwenye kuwaokoa na vitisho hivyi na kila tatizo, kisha nyinyi baada ya hapo mnawashirikisha wengine pamoja Naye katika ibada.» |