×

Na Yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili mwongoke kwazo katika kiza cha 6:97 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-An‘am ⮕ (6:97) ayat 97 in Swahili

6:97 Surah Al-An‘am ayat 97 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 97 - الأنعَام - Page - Juz 7

﴿وَهُوَ ٱلَّذِي جَعَلَ لَكُمُ ٱلنُّجُومَ لِتَهۡتَدُواْ بِهَا فِي ظُلُمَٰتِ ٱلۡبَرِّ وَٱلۡبَحۡرِۗ قَدۡ فَصَّلۡنَا ٱلۡأٓيَٰتِ لِقَوۡمٖ يَعۡلَمُونَ ﴾
[الأنعَام: 97]

Na Yeye ndiye aliye kuwekeeni nyota ili mwongoke kwazo katika kiza cha bara na bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanao jua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وهو الذي جعل لكم النجوم لتهتدوا بها في ظلمات البر والبحر قد, باللغة السواحيلية

﴿وهو الذي جعل لكم النجوم لتهتدوا بها في ظلمات البر والبحر قد﴾ [الأنعَام: 97]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, Ndiye Aliyewawekea, enyi watu, nyota ni alama ya nyinyi kujua njia kipindi cha usiku mnapopotea kwa sababu ya giza lingi, barani na baharini. Tumezifafanua hoja zilizo wazi, ili wazizingatie miongoni mwenu wenye elimu ya kumjua Mwenyezi Mungu na sheria Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek