Quran with Swahili translation - Surah At-Tahrim ayat 7 - التَّحرِيم - Page - Juz 28
﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ لَا تَعۡتَذِرُواْ ٱلۡيَوۡمَۖ إِنَّمَا تُجۡزَوۡنَ مَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ﴾
[التَّحرِيم: 7]
﴿ياأيها الذين كفروا لا تعتذروا اليوم إنما تجزون ما كنتم تعملون﴾ [التَّحرِيم: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wataambiwa wale waliokanusha kwamba Mwenyezi mungu Ndiye Mola wa haki na wakamkufuru, watakapoingizwa Motoni, «Msitafute nyudhuru Siku ya Leo, ukweli ni kwamba nyinyi mnapewa malipo ya yale ambayo mlikuwa mkiyafanya duniani |