Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 10 - المُلك - Page - Juz 29
﴿وَقَالُواْ لَوۡ كُنَّا نَسۡمَعُ أَوۡ نَعۡقِلُ مَا كُنَّا فِيٓ أَصۡحَٰبِ ٱلسَّعِيرِ ﴾
[المُلك: 10]
﴿وقالوا لو كنا نسمع أو نعقل ما كنا في أصحاب السعير﴾ [المُلك: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na watasema kwa kukubali makosa, «Lau tungalikuwa tunasikia usikivu wa mwenye kutafuta haki, au tunafikiria juu ya yale tunayoitiwa kwayo, hatungekuwa ni kati ya watu wa Motoni.» |