Quran with Swahili translation - Surah Al-Mulk ayat 14 - المُلك - Page - Juz 29
﴿أَلَا يَعۡلَمُ مَنۡ خَلَقَ وَهُوَ ٱللَّطِيفُ ٱلۡخَبِيرُ ﴾
[المُلك: 14]
﴿ألا يعلم من خلق وهو اللطيف الخبير﴾ [المُلك: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, kwani hajui, Mola wa viumbe, viumbe Vyake na mambo yao na hali ni kuwa Yeye Ndiye Aliyewaumba, Akalitengeneza umbo lao na Akalifanya zuri? Na Yeye Ndiye Mpole kwa waja Wake, Ndiye Mwenye kuwatambua wao na matendo yao |