Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 25 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿وَغَدَوۡاْ عَلَىٰ حَرۡدٖ قَٰدِرِينَ ﴾
[القَلَم: 25]
﴿وغدوا على حرد قادرين﴾ [القَلَم: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakaenda kipindi cha mwanzo wa mchana kuelekea kwenye shamba lao wakiwa na lengo baya la kuwanyima masikini matunda ya shamba, wakiwa wana uwezo kamili wa kulitekeleza hilo kulingana na madai yao |