Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 27 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿يَٰلَيۡتَهَا كَانَتِ ٱلۡقَاضِيَةَ ﴾
[الحَاقة: 27]
﴿ياليتها كانت القاضية﴾ [الحَاقة: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Natamani lau mimi sikupewa kitabu changu na sikujua malipo yangu! Natamani lau kile kifo nilichokufa duniani kilikuwa ndicho chenye kukata kabisa mambo yangu na nisifufuliwe baada yake |