Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 9 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿وَجَآءَ فِرۡعَوۡنُ وَمَن قَبۡلَهُۥ وَٱلۡمُؤۡتَفِكَٰتُ بِٱلۡخَاطِئَةِ ﴾
[الحَاقة: 9]
﴿وجاء فرعون ومن قبله والمؤتفكات بالخاطئة﴾ [الحَاقة: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na akaja mpita kiasi katika uasi Fir’awn na ummah waliomtangulia waliokanusha Mitume wao, na watu wakazi wa vijiji vya watu wa Lūṭ ambao majumba yao yaliwapindukia kwa sababu ya kitendo kibaya walichokifanya, cha ukafiri, ushirikina na mambo machafu |