×

Na tukawavusha bahari Wana wa Israili, wakafika kwa watu wanao abudu masanamu 7:138 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-A‘raf ⮕ (7:138) ayat 138 in Swahili

7:138 Surah Al-A‘raf ayat 138 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 138 - الأعرَاف - Page - Juz 9

﴿وَجَٰوَزۡنَا بِبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ ٱلۡبَحۡرَ فَأَتَوۡاْ عَلَىٰ قَوۡمٖ يَعۡكُفُونَ عَلَىٰٓ أَصۡنَامٖ لَّهُمۡۚ قَالُواْ يَٰمُوسَى ٱجۡعَل لَّنَآ إِلَٰهٗا كَمَا لَهُمۡ ءَالِهَةٞۚ قَالَ إِنَّكُمۡ قَوۡمٞ تَجۡهَلُونَ ﴾
[الأعرَاف: 138]

Na tukawavusha bahari Wana wa Israili, wakafika kwa watu wanao abudu masanamu yao. Wakasema: Ewe Musa! Hebu tufanyie na sisi miungu kama hawa walivyo kuwa na miungu. Musa akasema: Hakika nyinyi ni watu msio jua kitu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وجاوزنا ببني إسرائيل البحر فأتوا على قوم يعكفون على أصنام لهم قالوا, باللغة السواحيلية

﴿وجاوزنا ببني إسرائيل البحر فأتوا على قوم يعكفون على أصنام لهم قالوا﴾ [الأعرَاف: 138]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tuliwakatia Wana wa Isrāīl bahari, wakapita kwa watu waliokuwa wamekaa na kuendelea kuabudu masanamu wao. Wana wa Isrāīl wakasema, «Tufanyie, ewe Mūsā, sanamu tupate kumuabudu na kumfanya mungu kama hawa watu walivyo na masanamu wanaowaabudu.» Mūsā akawaambia, «Hakika yenu nyinyi,enyi watu, ni wajinga wa kujua utukufu wa Mwenyezi Mungu, na hamjui kwamba ibada haifai kufanyiwa yoyote isipokuwa Mwenyezi Mungu, Aliye Mmoja, Mwenye kutendesha nguvu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek