Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 139 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ مُتَبَّرٞ مَّا هُمۡ فِيهِ وَبَٰطِلٞ مَّا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[الأعرَاف: 139]
﴿إن هؤلاء متبر ما هم فيه وباطل ما كانوا يعملون﴾ [الأعرَاف: 139]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika hawa wanaowakalia hawa masanamu, ushirikina waliomo ndani yake umeangamizwa, na ni yenye kuangamiza na ni ya urongo yale waliokuwa wakiyafanya ya kuwaabudu masanamu hao ambao hawawazuilii adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwashukia |