Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 140 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿قَالَ أَغَيۡرَ ٱللَّهِ أَبۡغِيكُمۡ إِلَٰهٗا وَهُوَ فَضَّلَكُمۡ عَلَى ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الأعرَاف: 140]
﴿قال أغير الله أبغيكم إلها وهو فضلكم على العالمين﴾ [الأعرَاف: 140]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema kuwaambia watu wake, «Je, niwatafutie muabudiwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu Ndiye Aliyewaumba na Akawatukuza juu ya walimwengu wa zama zenu kwa wingi wa Mitume watokanao na nyinyi, kumuangamiza adui yenu na kwa miujiza Aiyowahusu nayo.» |