Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 31 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿فَمَنِ ٱبۡتَغَىٰ وَرَآءَ ذَٰلِكَ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡعَادُونَ ﴾
[المَعَارج: 31]
﴿فمن ابتغى وراء ذلك فأولئك هم العادون﴾ [المَعَارج: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi mwenye kutaka kumaliza matamanio yake ya kimwili kwa wasiokuwa wake zake au vijakazi vyake, basi hao ndio wenye kukiuka mipaka ya halali kuingia kwenye haramu |