Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 40 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿فَلَآ أُقۡسِمُ بِرَبِّ ٱلۡمَشَٰرِقِ وَٱلۡمَغَٰرِبِ إِنَّا لَقَٰدِرُونَ ﴾
[المَعَارج: 40]
﴿فلا أقسم برب المشارق والمغارب إنا لقادرون﴾ [المَعَارج: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sivyo hivyo. Najiapia Mimi Mwenyewe niliye Mola wa pande za kuchomoza na kutua jua, mwezi na sayari nyinginezo, kwa yanayopatikana humo miongoni mwa dalili waziwazi za kujulisha kufufuliwa |