Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 41 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿عَلَىٰٓ أَن نُّبَدِّلَ خَيۡرٗا مِّنۡهُمۡ وَمَا نَحۡنُ بِمَسۡبُوقِينَ ﴾
[المَعَارج: 41]
﴿على أن نبدل خيرا منهم وما نحن بمسبوقين﴾ [المَعَارج: 41]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kuwa Sisi tunaweza kuwaleta watu badala yao walio bora zaidi kuliko wao na watiifu zaidi wa Mwenyezi Mungu. Na hakuna yoyote atakayetushinda na kutuponyoka na kutuelemea iwapo tunataka kumrudisha uhai baada ya kufa |