Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 24 - نُوح - Page - Juz 29
﴿وَقَدۡ أَضَلُّواْ كَثِيرٗاۖ وَلَا تَزِدِ ٱلظَّٰلِمِينَ إِلَّا ضَلَٰلٗا ﴾
[نُوح: 24]
﴿وقد أضلوا كثيرا ولا تزد الظالمين إلا ضلالا﴾ [نُوح: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawa wafuatwa wamewapoteza watu wengi kwa vile walivyowapambia njia za upotofu upotevu. Kisha Nūḥ akaendelea kusema, «Na usiwaongezee, ewe Mola wetu, hawa waliozidhulumu nafsi zao kwa ukanushaji na ushindani isipokuwa kuwaepusha na haki.» |