Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 12 - الجِن - Page - Juz 29
﴿وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن نُّعۡجِزَ ٱللَّهَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَن نُّعۡجِزَهُۥ هَرَبٗا ﴾
[الجِن: 12]
﴿وأنا ظننا أن لن نعجز الله في الأرض ولن نعجزه هربا﴾ [الجِن: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na kwamba sisi tuna yakini kuwa mwenyezi Mungu Ana uweza juu yetu, na sisi tuko kwenye mkamato Wake na mamlaka Yake; hatuwezi kumponyoka Anapotaka kutufanya jambo popote pale tulipo. Na hatutaweza kuyahepa mateso Yake kwa kukimbila kwenda mbinguni iwapo Anatutakia mabaya |