Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 20 - الجِن - Page - Juz 29
﴿قُلۡ إِنَّمَآ أَدۡعُواْ رَبِّي وَلَآ أُشۡرِكُ بِهِۦٓ أَحَدٗا ﴾ 
[الجِن: 20]
﴿قل إنما أدعو ربي ولا أشرك به أحدا﴾ [الجِن: 20]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Waambie, ewe Mtume, hawa makafiri, «Kwa hakika mimi ninamuabudu Mola wangu Peke Yake, wala simshirikishi na Yeye kitu chochote katika kuabudu |