Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 19 - الجِن - Page - Juz 29
﴿وَأَنَّهُۥ لَمَّا قَامَ عَبۡدُ ٱللَّهِ يَدۡعُوهُ كَادُواْ يَكُونُونَ عَلَيۡهِ لِبَدٗا ﴾
[الجِن: 19]
﴿وأنه لما قام عبد الله يدعوه كادوا يكونون عليه لبدا﴾ [الجِن: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika Aliposimama Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kumuabudu Mola wake, walikaribia majini kumwangukia wakiwa makundi yaliyojikusanya na kupandana kwa kusongamana sana ili wapate kuisikia Qur’ani kutoka kwake |