Quran with Swahili translation - Surah Al-Muzzammil ayat 18 - المُزمل - Page - Juz 29
﴿ٱلسَّمَآءُ مُنفَطِرُۢ بِهِۦۚ كَانَ وَعۡدُهُۥ مَفۡعُولًا ﴾
[المُزمل: 18]
﴿السماء منفطر به كان وعده مفعولا﴾ [المُزمل: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mbingu zitakuwa na pasuko Siku hiyo, kwa ukubwa wa janga lake, hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, ya kuwa Siku hiyo itakuja ni yenye kutukia bila shaka |