Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 31 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿يُدۡخِلُ مَن يَشَآءُ فِي رَحۡمَتِهِۦۚ وَٱلظَّٰلِمِينَ أَعَدَّ لَهُمۡ عَذَابًا أَلِيمَۢا ﴾
[الإنسَان: 31]
﴿يدخل من يشاء في رحمته والظالمين أعد لهم عذابا أليما﴾ [الإنسَان: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anamuingiza Anayemtaka miongoni mwa waja Wake katika rehema Yake na radhi Yake, na wao ni wale walioamini. Na Amewaandalia madhalimu waliokiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu adhabu yenye kuumiza |