Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 30 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿وَمَا تَشَآءُونَ إِلَّآ أَن يَشَآءَ ٱللَّهُۚ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمٗا ﴾
[الإنسَان: 30]
﴿وما تشاءون إلا أن يشاء الله إن الله كان عليما حكيما﴾ [الإنسَان: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hamtataka jambo lolote miongoni mwa mambo isipokuwa kwa makadirio ya Mwenyezi Mungu na matakwa Yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa hali za viumbe Vyake, ni Mwingi wa hekima katika uendeshaji na utengezaji Wake |