Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 3 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿إِنَّا هَدَيۡنَٰهُ ٱلسَّبِيلَ إِمَّا شَاكِرٗا وَإِمَّا كَفُورًا ﴾
[الإنسَان: 3]
﴿إنا هديناه السبيل إما شاكرا وإما كفورا﴾ [الإنسَان: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tumembainishia na kumfahamisha njia ya uongofu na upotevu na wema na ubaya ili awe ima ni mwenye kuamini na kushukuru. Au awe ni mwenye kukanusha na kukataa |