Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 7 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿يُوفُونَ بِٱلنَّذۡرِ وَيَخَافُونَ يَوۡمٗا كَانَ شَرُّهُۥ مُسۡتَطِيرٗا ﴾
[الإنسَان: 7]
﴿يوفون بالنذر ويخافون يوما كان شره مستطيرا﴾ [الإنسَان: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao walikuwa huko duniani wanatekeleza kile walichojilazimisha nafsi zao cha utiifu kwa Mwenyezi Mungu, na wakiogopa mateso ya Mwenyezi Mungu, Siku ya Kiyama, ambayo madhara yake ni hatari na ubaya ni wenye kusambaa na kuenea kwa watu isipokuwa wale ambao Mwenyezi Mungu Amewarehemu |