×

Na Mwenyezi Mungu angeli jua wema wowote kwao ange wasikilizisha, na lau 8:23 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:23) ayat 23 in Swahili

8:23 Surah Al-Anfal ayat 23 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 23 - الأنفَال - Page - Juz 9

﴿وَلَوۡ عَلِمَ ٱللَّهُ فِيهِمۡ خَيۡرٗا لَّأَسۡمَعَهُمۡۖ وَلَوۡ أَسۡمَعَهُمۡ لَتَوَلَّواْ وَّهُم مُّعۡرِضُونَ ﴾
[الأنفَال: 23]

Na Mwenyezi Mungu angeli jua wema wowote kwao ange wasikilizisha, na lau ange wasikilizisha wangeli geuka wakapuuza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولو علم الله فيهم خيرا لأسمعهم ولو أسمعهم لتولوا وهم معرضون, باللغة السواحيلية

﴿ولو علم الله فيهم خيرا لأسمعهم ولو أسمعهم لتولوا وهم معرضون﴾ [الأنفَال: 23]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na lau Mwenyezi Mungu Alijua kwamba ndani ya hawa kuna kheri yoyote Angaliwafanya wasikie mawaidha ya Qur’ani na mazingatio yake mpaka wazifahamu hoja na dalili za Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka. Lakini Yeye Alijua kwamba hamna kheri kwao na kwamba wao hawataamini. Na lau Aliwasikilizisha, kwa kukadiria na kukisia, wangaliipa mgongo Imani kwa kusudi na ujeuri, baada kuielewa. Na wao ni wenye kuipa mgongo, hawazunguki kuitazama haki kwa njia yoyote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek