Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 51 - الأنفَال - Page - Juz 10
﴿ذَٰلِكَ بِمَا قَدَّمَتۡ أَيۡدِيكُمۡ وَأَنَّ ٱللَّهَ لَيۡسَ بِظَلَّٰمٖ لِّلۡعَبِيدِ ﴾
[الأنفَال: 51]
﴿ذلك بما قدمت أيديكم وأن الله ليس بظلام للعبيد﴾ [الأنفَال: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Malipo hayo ambayo yamewapata nyinyi, enyi washirikina, ni kwa sababu ya matendo yenu maovu katika maisha yenu ya duniani. Na Mwenyezi Mungu hamdhulumu yoyote, kati ya viumbe Wake, kitu chochote hata kadiri ya uzito wa chungu mdogo. Bali Yeye Ndiye Mwamuzi Muadilifu Asiyedhulumu |