×

Basi ukiwakuta vitani wakimbize walio nyuma yao ili wapate kukumbuka 8:57 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:57) ayat 57 in Swahili

8:57 Surah Al-Anfal ayat 57 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 57 - الأنفَال - Page - Juz 10

﴿فَإِمَّا تَثۡقَفَنَّهُمۡ فِي ٱلۡحَرۡبِ فَشَرِّدۡ بِهِم مَّنۡ خَلۡفَهُمۡ لَعَلَّهُمۡ يَذَّكَّرُونَ ﴾
[الأنفَال: 57]

Basi ukiwakuta vitani wakimbize walio nyuma yao ili wapate kukumbuka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فإما تثقفنهم في الحرب فشرد بهم من خلفهم لعلهم يذكرون, باللغة السواحيلية

﴿فإما تثقفنهم في الحرب فشرد بهم من خلفهم لعلهم يذكرون﴾ [الأنفَال: 57]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Pindi utakapopambana na hawa, wanaovunja ahadi na mapatano, katika vita, wape adhabu ambayo itatia kicho kwenye nyoyo za wegine na itaitawanya mikusanyiko yao, huenda wao wakazingatia wasiwe na ujasiri wa kufanya kama yale waliyoyafanya waliotangulia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek