×

Siku ambayo nafsi haitakuwa na madaraka yoyote juu ya nafsi; na amri 82:19 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-InfiTar ⮕ (82:19) ayat 19 in Swahili

82:19 Surah Al-InfiTar ayat 19 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-InfiTar ayat 19 - الانفِطَار - Page - Juz 30

﴿يَوۡمَ لَا تَمۡلِكُ نَفۡسٞ لِّنَفۡسٖ شَيۡـٔٗاۖ وَٱلۡأَمۡرُ يَوۡمَئِذٖ لِّلَّهِ ﴾
[الانفِطَار: 19]

Siku ambayo nafsi haitakuwa na madaraka yoyote juu ya nafsi; na amri yote siku hiyo ni ya Mwenyezi Mungu tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يوم لا تملك نفس لنفس شيئا والأمر يومئذ لله, باللغة السواحيلية

﴿يوم لا تملك نفس لنفس شيئا والأمر يومئذ لله﴾ [الانفِطَار: 19]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Siku ya Hesabu, hataweza yoyote kumnufaisha yoyote. Na amri zote Siku Hiyo ni za Mwenyezi Mungu Peke yake Ambaye hakuna mwenye kumshinda, wala hakuna mwenye kumtendesha nguvu, wala hakuna mwenye kushindana na Yeye
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek