Quran with Swahili translation - Surah Al-MuTaffifin ayat 32 - المُطَففين - Page - Juz 30
﴿وَإِذَا رَأَوۡهُمۡ قَالُوٓاْ إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَضَآلُّونَ ﴾
[المُطَففين: 32]
﴿وإذا رأوهم قالوا إن هؤلاء لضالون﴾ [المُطَففين: 32]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawa makafiri wanapowaona Maswahaba wa Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, wamefuata uongofu, huwa wakisema, «Hakika hawa wamepotea kwa kumfuata Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie |