Quran with Swahili translation - Surah Al-Inshiqaq ayat 15 - الانشِقَاق - Page - Juz 30
﴿بَلَىٰٓۚ إِنَّ رَبَّهُۥ كَانَ بِهِۦ بَصِيرٗا ﴾
[الانشِقَاق: 15]
﴿بلى إن ربه كان به بصيرا﴾ [الانشِقَاق: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sivyo hivyo! Mwenyezi Mungu Atamrudisha kama alivomuumba na kumlipa kwa amali zake. Kwani Yeye kwake ni Mtambuzi na kwa hali yake ni Mjuzi kuanzia Alipomuumba mpaka kumfufua |